STATEMENTS OF FAITH

THEMES OF FAITH(KAULI MBIU ZA KIIMANI)






1."PAST IS OVER"
🌹Yaliyopita yamepita!
➖katika vitu vinavyotisha Sana na kuleta majuto yasiyokoma katika Moyo ya watu wengi ni Wakati uliopita

➖Majuto Mengi huzaliwa pale ambapo unaona kabisa kuna vitu ulivipitia nyuma vikasababisha maumivu makubwa Sana yasiyokoma ndani ya moyo

➖Kwa lugha nyingine ningesema ,moyo unavuja damu kwa sababu ya mambo ya zamani yaliyokuumiza
💪🏼leo ninalo Neno la Matumaini na la Imani...
💥Imani thabiti inatabia ya kuwa na hii kauli mbiu ya kusema
*"my past is over"*
✍️Huwezi kujuta milele..maisha lazima yaendelee...
✍️kwakuwa ni vigumu kusahau yaliyopita...ni rahisi Sana kuitamka hii kauli mbiu ya Imani ...kila wakati itakusaidia kuumba Nguvu mpya ya kusonga mbele

🌹Jitahidi Sana walau kila baada ya dakika 15 jiambie mwenyewe *MY PAST IS OVER*...KWA KUMAANISHA nakuhakikishia ..Imani itaumbika hadi utashangaa tu umesahau yote yaliyopita..na hatimaye ukaendelea mbele(kwa wale ambao nyakati  zao zilizopita zimewatesa bila mafanikio)

Soma Maombolezo 3:19-21
20 Nafsi yangu ikali ikiyakumbuka hayo, Nayo imeinama ndani yangu.

21 Najikumbusha neno hili, Kwa hiyo nina matumaini.*say it again(my past is over)

22 Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi.

23 Ni mpya kila siku asubuhi; Uaminifu wako ni mkuu.



2."PRESENT IS THE  NEW BEGINNING"
🌹leo ni mwanzo mpya
Kwa hakika ukitaka kujua kuwa wakati uliopo ndio mwanzo mpya hebu Fanya kitu hiki Kama *jaribio*

"Andika mambo yote yaliyotokea katika maisha yako kuanzia Jana kurudi nyuma ...katika dayari yako mpya au notebook mpya"

"Halafu katika page mpya andika tarehe ya leo ikiwa hujapatwa na jambo lolote baya"

"Halafu chana ile karatasi ya matukio ya nyuma kisha ichome moto"

Rudi kwenye dayari yako uone ...Kama utayaona yale yote yaliyokuumiza kwa Muda Mrefu..

Utagundua kuwa
"Ukitoa mambo yote ya Historia yako ya nyuma,wewe unakuwa Mpya kabisa"

Biblia inasema:
*Yakale yamepita tazama yamekuwa mapya*

*"I CAN FACE TOMORROW"*
*🌹Ninauwezo wa kukabiliana na kesho yangu*
Kwakuwa Nayaweza Mambo yote katika Yeye anitiaye Nguvu

Hizi ni Kauli mbiu za Imani...
Endelea kutufuatilia masomo yetu hapa ogs
Mwal.Chavala PM Ezekia

©️Ogschavala@gmail.com
+255677904755

©️Jiunge nasi kwa kubonyeza link hii
https://chat.whatsapp.com/Khlliv2TlhV7jsT5DuquhA

©️Download application yetu ya online gospel sermons kutoka play store upate masomo yetu ya kila siku

Nenda google play kuipata

©️Fuatilia page yetu Facebook..Gospel Sermon Ministries na Instagram..Mwal..ezekia_Chavala official.

No comments

Dr Mgasa Mhoja. Powered by Blogger.