TANGAZO;KOZI YA MUZIKI ONLINE KUANZA 1.3.2021
Online Music Class ikiwa ni huduma shiriki ya Online Gospel Sermons tumekuandalia Mfunzo Maalumu ya Misingi ya Muziki kwa muda wa Miezi miwili mfululizo.
Mafunzo haya yatafanyika kwa njia ya Whatsap,pamoja na APPLICATION YA ONLINE GOSPEL SERMONS.AMBAYO IKO PLAYSTORE
kama haujadownload ,tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na mafunzo haya
USAJILI
Usajili unaendelea,kwa kutuma neno USAJILI kwenda namba +255621029725,baadaye utatakiwa kueleza taarifa zako ,mahali unapokaa ,na aina ya Chombo unachotaka kujifunza
GHARAMA
mafunzo haya yataendeshwa kwa mfumo wa Topic moja moja ,na kila topic inagharimu shilingi elfu tano tu za Kitanzania.na kama utahitaji kulipia ada yote ni shilingi 40,000 tu.
kwa mawasiliano zaidi,wasiliana na
Ezekia Chavala
Director wa Mafunzo
Online Music Class.
watu wote mnakaribishwa.
limetolewa na uongozi,Online Gospel Sermons..19/2/2021.
No comments