LEVELS OF FAITH
*Imani sehemu ya NNE*
Na Mwal.Chavala Pm Ezekia
➖Kama alivyo mtoto anavopitia hatua za ukuaji Kama kulala tu,kuanza kutambaa,kuanza kuzungumza maneno machache ,kuanza kusimama,kuanza kutembea kidogokidogo na hatimaye kuanza kukimbia ndivyo Imani ilivyo
🔥Tutatumia kitabu cha Daniel Kama case study yetu siku ya leo Kama ifuatavyo
*1️⃣stage ya kwanza ya Imani*
Imani ya kukataa chakula cha kishawishi(hali ya chini ya Imani)
*➖imani inayoanza kuzaliwa*
katika sura ya kwanza ya Daniel...tunaona Hawa vijana wanajifunza kuwa na Imani...ya kukataa kula vyakula vya anasa...kule ikulu*
Soma Daniel 1:8
Utaona kuwa kukataa kula vyakula vya anasa...ni Kama jambo la kitoto Sana...
*🔥Lakini wao waliamua kula Mtama na maji halafu wakanenepa kuliko waliokula vyakuka vya kifalme*
Hii ilikuwa ni stage ya kwanza ya Imani kwa hawa vijana
*2️⃣stage ya pill*
Imani ya kuweza kutafsiri Ndoto ya mfalme
✍️Ukiwa mwaminifu katika jambo dogo,Bwana anakuongezea viwango..ili ufanye jambo kubwa zaidi
👉🏼Kutoka kwenye level ndogo ya Imani ya kukataa kula chakuka cha Anasa..Sasa anapewa msuli mkubwa kidogo wa kuweza kutafsiri ndoto ya mfalme
*Soma Daniel Sura ya 2:1-48*
*3️⃣Stage ya 3 ya Imani*
*Imani ya kutoweza kuteketea katika Tanuru la Moto*
🔥Nawapenda sama hawa vijana ..maana wanakua kiimani huku tunawaona
👉🏼wameanzia kwenye kukataa chakula cha an as a
👉🏼wakaja kwenye kutafsiri ndoto ngumu
👉🏼Sasa Imani iko kwenye level ya kutoogopa kutupwa katika tanuru la moto
*💪🏼Ni Kama utani Ila ndo Imani inakua hivyo...unaanza kutumia Imani katika mambo madogo ya kipuuzi ...ndipo inaanza kukua na kukujaribu katika mambo makubwa ..na hatimaye unakuwa Giant wa Imani*
Soma Daniel 3:1-23
*Stori ya shadrack.meshaki na Abednego kukubali kuingia katika Tanuru la moto...this is faith in next levels*
💥katika hili pia ..Bwana alionesha utukufu usio wa kawaida..maana
➖hapa hadi Mtu wa Nne💪🏼 akatokea...what a promotion?
➖ifike level ya Imani ya kumfanya Mtu wa NNE aone kwakweli Ana kila sababu ya kushuka aungane na wewe ..maana umeanza kuwa mtu mzima kiimani💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼
4️⃣Stage ya NNE ya imani
*IMANI YA KUPONYWA DHIDI YA SIMBA WENYE NJAA KALI*
👉🏼Hapa ni ngazi nyingine ya Imani
🌹Ogopa Sana kupelekwa mbele ya kitu kinachotisha Kama simba...halafu bado Imani uliyonayo kwa Bwana uamini kuwa inaweza kukuvusha
*Soma Daniel 6:10-24*
Kwa nini hii issue ya simba ulikuwa mtihani mkubwa zaidi?
🎯Daniel alikuwa yeye peke yake..bila kampani ya marafiki wenzake wale...peke yake hapa alitakiwa kusimama ..Sasa Je wewe unaweza kuwa na Imani ya kusimama katika jaribu kubwa ukiwa peke yako ukafaulu?
🎯Jaribu lenyewe walikuwa ni simba
Kawaida ya simba wanaogopwa hata kutazamwa tu...maana ni viumbe wanaotisha kwa asili..maana kwanza akinguruma Mara moja tu unajikuta ushapaniki.
🎯Wale simba waliachwa na njaa kwa muda mrefu ili ile capacity ya kumtafuna Daniel iongezeke
Yaani waliongezewa activation energy ya kumtafuna Daniel...
Hizi ni sababu kuu tatu kwa nini huu mtihani ulikuwa mkubwa zaidi kiimani kwa Daniel
*🌹Anza kuwa na Imani katika mambo madogo...Imani yako itaongezeka na kuwa Kubwa zaidi*
Nakutakia Jumapili njema...Kama huna sababu ya kukaa nyumbani...nenda kamwabudu Bwana Mungu wako
Ni Mimi
Mwal.Chavala PM Ezekia
©️Ogschavala@gmail.com
+255677904755
©️Jiunge nasi kwa kubonyeza link hii
https://chat.whatsapp.com/Khlliv2TlhV7jsT5DuquhA
©️Download application yetu ya online gospel sermons kutoka play store upate masomo yetu ya kila siku
Nenda google play kuipata
©️Fuatilia page yetu Facebook..Gospel Sermon Ministries na Instagram..Mwal..ezekia_Chavala official.
No comments