LINDA WASIFU WAKO-PROTECT YOUR PROFILE

PROTECT AND UPGRADE YOUR PROFILE

BORESHA WASIFU WAKO
Na mwal..Chavala PM Ezekia.

🎯Jambo la kuzingatia sana katika maisha ni
Kufanya kwa ubora katika kila kitu unachokifanya hata kama ni kidogo

🎯Unapofanya kwa ubora una linda Jarida lako(profile la wasifu wako lisichafuliwe)

🎯Jitahidi sana kutetea Profile lako..katika kila kitu unachopitia maana huwezi jua lini ..nani ataanza kulipekua

🎯Kuna watu huwa wanatabia ya kufanya usafi sebuleni halafu chumbani wanaacha😅😅 sasa huyu siku ya kuumwa ghafla ndipo huwa anakuja kuumbuka

🔥sasa Matatizo na changamoto zako za sasa zisikufanye uache kuwa smart katika mambo yako

🎯Jitahidi sana kuwa smart katika kila kitu ..maana utalinda profile lako na kwa hakika utatetea ubora wa uhusika wako

Soma 2 Korintho 6:4
4 bali katika kila neno tujipatie sifa njema, kama watumishi wa Mungu; katika saburi nyingi, katika dhiki, katika misiba, katika shida;

5 katika mapigo, katika vifungo, katika fitina, katika taabu, katika kukesha, katika kufunga;

6 katika kuwa safi, katika elimu, katika uvumilivu, katika utu wema, katika Roho Mtakatifu, katika upendo usio unafiki;

7 katika neno la kweli, katika nguvu ya Mungu; kwa silaha za haki za mkono wa kuume na za mkono wa kushoto;

8 kwa utukufu na aibu; kwa kunenwa vibaya na kunenwa vema; kama wadanganyao, bali tu watu wa kweli;

9 kama wasiojulikana, bali wajulikanao sana; kama wanaokufa, kumbe tu hai; kama wanaorudiwa, bali wasiouawa;

10 kama wenye huzuni, bali siku zote tu wenye furaha; kama maskini, bali tukitajirisha wengi; kama wasio na kitu, bali tu wenye vitu vyote.

➖➖➖➖➖➖➖➖
Mwandishi ameeleza sana hapa kuwa katika kila jambo ujipatie sifa njema

➖Kwa lugha nyingine anamaanisha Protect your profile no matter what !!

🎯Unapolinda profile yako itakusaidia sana siku utakayotakiwa kuitumia kama kielelezo ili upandishwe viwango vingine

➖Yusufu alipita katika changamoto ya kutakwa kimapenzi  na mke wa mfalme
Lakini katika ushawishi ule wote bado ,jamaa kasema Nitendeje ubaya huu nimkose Mungu?

Sasa kama dogo angethubutu kujifanya changamoto zimebana ..afanye tu ule ujinga

Siku ya kupewa uwaziri mkuu inawezekana Faili lake lingefunguliwa na kuonekana hana sifa

🔥Protect your profile no matter what

✍🏼Bless you

Mwal Chavala Pm Ezekia
OGS-2020

+255621029725UPGRADE YOUR PROFILE

+255621029725V

No comments

Dr Mgasa Mhoja. Powered by Blogger.