MTU WA NNE
Karibu tena katika sermon yetu ya siku ya leo
Heri kwa kuamka salama
Na Mwal Chavala
š„ingelikuwa ni safari ,ningelisema unahitaji kampani..yaani mtu wa kukusindikiza unapokuwa peke yako
š„Kama ni maisha ..ningesema unamuhitaji mshauri wa kukushauri kitu gani ufanye kila siku
š„Ungekuwa wewe ni Raisi ningesema unamuhitaji bodygurd wako kila uendapo
š„Ungekuwa mgonjwa..ningesema unamuhitaji Daktari wako private(personal Doctor wa kukuhudumia muda wote)
š„Na kama wewe ni Mwanafunzi..ningesema unamuhitaji mwalimu anaekufundisha hata muda wa ziada kuhakikisha unafaulu vizuri
š„š„š„Kuna muda unamuhitaji mtu wa karibu atakaekusaidia na kukutia moyo wakati unapokuwa peke yako na hauna tumaini...
*Soma Daniel 3;24*
*24 Ndipo Nebukadreza akastaajabu, akainuka kwa haraka; akanena, akawaambia mawaziri wake, Je! Hatukutupa watu watatu, hali wamefungwa, katikati ya moto? Wakajibu, wakamwambia mfalme, Kweli, Ee mfalme.*
*25 Akajibu, akasema, Tazama, mimi naona watu wanne, nao wamefunguliwa, wanatembea katikati ya moto hali hawana dhara; na sura yake yule wa nne ni mfano wa mwana wa miungu.*
*26 Kisha Nebukadreza akaukaribia mdomo wa ile tanuru iliyokuwa inawaka moto. Akanena, akasema, Enyi Shadraka, na Meshaki, na Abednego, watumishi wa Mungu Aliye juu, tokeni, mje huku. Ndipo Shadraka, na Meshaki, na Abednego, wakatoka katika ule moto.*
šš¾šš¾Kuna nyakati katika maisha ..ni Mtu wa nne tu ukiwa nae ana uwezo wa kukufanya utoke salama hata katika
š„Tanuru la moto
š„katika operesheni ngumu isiyo na matumaini
š„Katika interview yako ya kutafuta kazi
š„katika application zako za kuomba kazi
Na katika kila kitu unachokishughulikia
š„š„Hawa vijana ..kwakweli walitumbukizwa katika tanuru la moto..lakini kitu pekee ambacho kiliwafanya wakawa salama kabisa hata katika moto ni
*MTU WA NNE*
Huyu bila shaka alikuwa ni YESU KRISTO maana yeye pekee anauwezo wa kutuokoa na kututoa katika maangamizo yote
šŖš¼šŖš¼Tafuta mahusiano ya hii kampani ya mtu wa nne (Bwana Yesu )katika kila kitu unachokifanya ..na kila mahali unapopita...
Hautakuja kujuta hata siku moja
š„š„uwe na tafakari njema ya sermon hii ya neno la Mungu
Karibu Online gospel sermons

By Mwl E.Chavala
No comments