NEEMA YA MUNGU KATIKA MAISHA YETU
mpendea wa OGS (online Gosple Sermons)
Siku yaleo Mungu ameachilia neema tukapate kujifunza kuhusu neema ya Mungu katika Maisha yako....
Neema ya Mungu inapoachiliwa katika Maisha yako kunavitu flani utakuta vinatokea katika maisha yako hata Kama huna vigezo za kuweza kuvipata.
Kuna watu wanatembea bila neema ya Mungu Ndo maana Kuna baadhi ya vitu haviendi. Unakuta tu wanajaribu kUfanya vitu mbalimbali kwa juhudi na jitihada za Hali ya juu lakini mafanikio hamna
Fatilia SoMo hili HAPA
No comments