GOD OF REVIVAL


 MUNGU ANAYEFUFUA VILIVYOKUFA

Moja ya sifa za viumbe hai hufa,

Hali kadhalika maisha ya mwanadamu kuna mahali yanafika hatua ya kutoonesha kusitawi au kuendelea vizuri


➖Ninazungumzia wakati ambao. Mambo yako hayaendi (yamedumaa)


➖Ninazungumzia wakati ambao hata biashara zako haziendi(Zimekufa)


*➖Ninazungumzia wakati ambao Ndoa yako inaonesha kufa maana haina furaha tena*


➖Ninazungumzia wakati ambao kazi yako iko matatani


*👉🏾Mungu ninayemtangaza ni Mungu wa Urejesho(Kufanya upya vile vilivyokufa na kukurejeshea uhai katika kila kitu chako)*


*#Ayubu 14:7*

 *Kwani yako matumaini ya mti, ya kuwa ukikatwa utachipuka tena, Wala machipukizi yake hayatakoma.*


*8 Ijapokuwa mizizi yake huchakaa mchangani, Na shina lake kufa katika udongo;*


9 Lakini kwa harufu ya maji utachipuka, Na kutoa matawi kama mche.



Key Points

➖➖➖➖


*1⃣Yesu ni maji yaliyo hai*

...na wote tunajua moja ya kazi ya maji ni kumwagilia uoto ili uweze kusitawi


Unapokutana na Yesu ni lazima usitawi

*#Mstari wa 9*


*2️⃣Yesu ndiye huo ufufuo na uzima*


👉🏾Hapa hamaanishi tu kuwa anafufua waliokufa katika Mwili au Roho ...ila anamaanisha ...yeye ndiye POWER OF RESTORATION


Nguvu ya kufanya upya mambo yako yaliyo haribika


*👉🏾wewe unajua mambo gani yamekufia mikononi mwako na matumaini yako yamepotea*


💥unamuhitaji Yesu afanye upya mambo yako yaliyoharibika



Ukiwa na shida yeyote kuhusu mambo haya ya Rohoni


Usiogope 

Tutafute kwa namba 

*+255621029725*


Jiunge na mafundisho yetu kila siku kwa kubonjeza link hii


https://chat.whatsapp.com/K3lnh9YaO7Y2Z3SA2MBudI

No comments

Dr Mgasa Mhoja. Powered by Blogger.