HAZINA ILIYOFICHWA/unleash your potentials
KUFICHUA KILICHOJIFICHA NDANI YAKO
➖Kila mwanadamu ameumbwa kwa kusudi maalumu
💥Kwa kadri anapoendelea kulitumikia kusudi ambalo Mungu amemuumbia ni dhahiri kuwa rasilimali zote za maisha yake hugharimiwa na Kitu alichokibeba
➖wengi wanaogopa kufanya mambo ya Wito/ndoto zao kwa sababu wanaogopa kufilisika au kukosa sapoti kwa namna moja au nyingine
💥Leo Bwana amenipa neno hili la kiufunuo kwako kuwa
Ukiamua Kumtumaini yeue na kufanya yaliyo kusudi la kuumbwa kwako
*💥Yeye atafanya mifereji katika Majabali(Miamba mikubwa)*
*Lakini pia atazifunua hazina zako zilizofichwa*
*Soma Ayubu 28;10-11*
Get into your Great Mission and God shall do the rest for you
Nakutakia Siku njema
Mwal.Ezekia Paul Chavala
Online Gospel Sermons
https://chat.whatsapp.com/K3lnh9YaO7Y2Z3SA2MBudI
No comments