usikubali maneno ya watu yakuumize

 katika maisha yako kuna watu watazungumza mambo magumu yanayochoma kama miiba

wewe hutakiwi kuruhusu maneno hayo yakuharibie siku yako

maisha yenyewe mafupi haya ,,achana na maneno yao 




No comments

Dr Mgasa Mhoja. Powered by Blogger.